Solai | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Nakuru |
Solai ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Solai ni kata ya kaunti ya Nakuru, eneo bunge la Rongai[1].
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Solai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |