Skapulari (kutoka neno la Kilatini scapulae, "mabega") ni vazi la Kikristo linalong'inginia kutoka shingoni.
Zipo aina mbili: ile ndefu kwa ajili ya wamonaki[1][2] na nyingine fupi sana (pengine ni vipande vidogo vya kitambaa vilivyounganishwa kwa kamba) kwa ajili ya walei wanaoshiriki namna yao karama ya utawa fulani[3][4][5][6][7][8][9].
Rangi inatofautiana kadiri ya shirika.
Makala
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Skapulari kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |