Sherehe ya Utamaduni ya Wamaragoli, ambayo hufanyikia mjini Mbale kila tarehe 26 Desemba,[1] ni sherehe ya kutambua si tu utamaduni na turati za Wamaragoli, ila jamii yote ya Waluhya walio na makao katika Kaunti ya Vihiga.[2] Jamii hii ya Waluhya inajumuisha Wamaragoli, Wanyore, Watiriki na majirani zao ambao ni Waidakho na Wakisa.
Sherehe hii huandaliwa na Vihiga Cultural Society. Mlezi wa kwanza alikuwa Moses Mudavadi, baba wa mmoja wa mawaziri wakuu wasaidizi wawili wa nchi ya Kenya, Musalia Mudavadi.[3]
((cite book))
: |pages=
has extra text (help)
((cite book))
: |pages=
has extra text (help)
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sherehe ya Utamaduni ya Wamaragoli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |