Sharlto Copley | |
---|---|
Amezaliwa | Sharlto Copley 27 Novemba 1973 Johannesburg, Gauteng, Afrika Kusini |
Kazi yake | Muigizaji |
Ndoa | Tanit Phoenix |
Watoto | 1 |
Sharlto Copley alizaliwa mnamo tarehe 27 Novemba mwaka 1973 ni mwigizaji wa Afrika Kusini. Amecheza kama Wikus van der Merwe katika filamu ya District 9,[1] Alicheza pia kama Howling Mad Murdock katika mabadiliko ya mwaka 2010 ya filamu ya The A-Team. Wakala C. M. Kruger katika filamu ya Elysium,James Corrigan katika filamu ya Europa Report na mfalme Stefan katika filamu ya Maleficent.Pia alicheza cheo cha kichwa katika Filamu ya Chappie,Kama Jimmy katika filamu ya Hardcore Henry,na nyota katika misimu miwili ya filamu,filamu ya Christian Walker na Powers katika mfululizo wa televisheni.Copley amemuowa mwigizaji mwenzake wa Afrika Kusini na Mwanamtindo wa mitindo TANIT PHOENIX.[2]
Sharlto Copley alizaliwa Johannesburg na alisoma shule ya St. Andrew's Preparatory School huko Grahamstown na Shule ya Redhill School huko Morningside, Johannesburg.[3]Baba yake ni Dk Bruce Copley, profesa wa zamani wa chuo kikuu.[3][4] Kaka yake ni Donovan,[3] ni mwimbaji na kiongozi wa Bandi ya Cape Town Hot Water.[5][6][7]
|accessdate=
na |access-date=
specified (help)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sharlto Copley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |