Selemani Moshi Kakoso ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mpanda Vijijini kwa miaka 2015 – 2020. [1]