Saul Henry Amon (amezaliwa 10 Januari 1960) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Rungwe kwa mwaka 2015 – 2020. [1]
Pia ni mmiliki wa maduka na hoteli.