Samuel John Sitta (amezaliwa 18 Desemba, 1942) ni mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.