Sameer Ismail Lotto (amezaliwa tar. 3 Julai 1966) ni mbunge wa jimbo la Morogoro -Kusini -Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. Mengi kuhusu Sameer Ismail Lotto (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje