Samson Kagengo Ongeri ni mwanasiasa wa Kenya na Mbunge katika Bunge la Kenya.
Yeye ni mwanachama wa Chama cha KANU
Alichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007[1] kuwakilisha Jimbo la Nyaribari Masaba kwa tiketi ya Chama cha KANU
Profesa Ongeri amekuwa Waziri wa Elimu tangu 2007. Profesa Ongeri pia amewahi kuhudumu kama mwenyekiti wa Shirikisho la Riadha nchini Kenya tangu 1974 hadi 1984. [2].
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sam Ongeri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |