Sala ya mwisho (au Kompleto, kutoka jina la Kilatini "Completorium"; kwa Kiingereza "Compline", "Complin", "Night Prayer" or the "Prayers at the End of the Day") katika liturujia ya vipindi ni ile inayofanyika kabla ya kwenda kulala ili kumkabidhi Mungu usalama wa muda wa usiku ambao unadokeza pia kifo.

Madhehebu mbalimbali ya Ukristo (Wakatoliki, Waorthodoksi, Waanglikana na Walutheri) yamepanga kipindi kama hicho katika sala rasmi ya Kanisa.

Sala kama hiyo inashuhudiwa na maandishi ya Klementi wa Aleksandria na Sipriani kwamba ilikuwepo katika Afrika tangu karne ya 2.

Katima monasteri na nyumba nyingi za kitawa, kwa sala hiyo kinaanza kimya kikuu ambacho kishikwe na wote hadi baada ya sala za asubuhi.

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Mapokeo ya Roma

[hariri | hariri chanzo]

Waorthodoksi

[hariri | hariri chanzo]

Waprotestanti

[hariri | hariri chanzo]

Inavyoimbwa

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sala ya mwisho kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.