Marcus Aurelius na wanafamilia wake wakitoa sadaka ya shukrani kwa kushinda Wagermanik: jinsi ilivyochongwa wakati huo katika marumaru, Roma, Italia.

Sadaka ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu Mungu na kujiombea fadhili fulani toka kwake.

Kafara

Kafara ya Waazteki ya kumchinja mtu, ilivyochorwa katika Codex Mendoza, karne ya 16, (Bodleian Library, Oxford).

Kama sadaka inaendana na uchinjaji wa binadamu au mnyama inaweza kuitwa kafara.

Aina nyingine za sadaka

  1. Fungu la Kumi
  2. Malimbuko
  3. Nadhiri

Marejeo

Viungo vya nje

Tanbihi