Sacho | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Baringo |
Sacho ni mji wa magharibi mwa Kenya, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Sacho ni kata ya kaunti ya Baringo, eneo bunge la Baringo ya Kati[1].
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sacho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |