Ronald Gideon Ngala (19231972) alikuwa mwanasiasa wa Kenya ambaye alikuwa kiongozi wa chama cha siasa cha Kenya African Democratic Union tangu kuundwa kwake mwaka wa 1960 hadi kufutwa kwake mwaka wa 1964.[1]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Daily Nation, 30 December 2012: Ngala family wants fresh death probe