Riziki Said Lulida (amezaliwa tarehe 31 Julai 1955) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama tawala cha CCM.
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [2][3]