Raphael Michael Japhary ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Moshi Mjini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017