Ramo Matala Makani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduru Kaskazini kwa miaka 2015 – 2020. [1]