Rajkot ni jiji la jimbo la Gujarat nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.3 (2011). Ni mji mkubwa wa ishirini na nane nchini Uhindi.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rajkot kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.