| ||||
Kimeanzishwa | 22.11.1993 | |||
---|---|---|---|---|
Ilianza huduma | 20.01.1994 | |||
Programu kwa wateja wa mara kwa mara | Qatar Airways Privilege Club | |||
Muungano | Oneworld | |||
Ndege zake | 234 | |||
Shabaha | 173 | |||
Makao makuu | Qatar Airways Towers, Doha, Qatar | |||
Tovuti | https://qatarairways.com |
Qatar Airways Company Q.C.S.C. ni shirika la ndege la kimataifa linalotoa huduma za usafiri wa anga duniani. Ndiyo shirika kuu la nchi ya Qatar, Uarabuni, ikiwa na makao yake mjini Doha. Ni moja kati ya ndege sita zilizotuzwa nyota tano na Skytrax, zikiwemo Kingfisher Airlines, Cathay Pacific, Asiana Airlines na Singapore Airlines.[1]Wengi hupenda kutumia shirika hili kwa huduma za usafiri.
Ndege za Qatar Airways ni:
Ndege | Jumla | Zilizowekwa oda | Wasafirill>(First/Business/Economy) | Itakapoanza kazi |
---|---|---|---|---|
Airbus A300-600RF | 3 | 0 | Cargo | Inafanya kazi |
Airbus A319-100LR | 2 | 0 | 110 (8/0/102) | Inafanya kazi |
Airbus A319-100CJ | 1 | 0 | 36 (16/20/0) | Inafanya kazi |
Airbus A320-200 | 13 | 18 | 144 (12/0/132) | Inafanya kazi |
Airbus A321-200 | 8 | 4 | 177 (0/12/165) 196 (0/0/196) |
Inafanya kazi |
Airbus A330-200 | 16 | 0 | 228 (12/24/192) 232 (8/24/200) 260 (0/24/236) 272 (0/24/248) |
Inafanya kazi |
Airbus A330-300 | 13 | 0 | 259 (12/24/223) 305 (0/30/275) |
Inafanya kazi |
Airbus A340-600 | 4 | 0 | 266 (8/42/216) 306 (8/42/256) |
Inafanya kazi |
Airbus A350-800 | 0 | 20 | TBD | mwaka wa 2014 |
Airbus A350-900 | 0 | 40 | TBD | mwaka wa 2014 |
Airbus A350-1000 | 0 | 20 | TBD | mwaka wa 2015 |
Airbus A380-800 | 0 | 5 | TBD | mwaka wa 2012 |
Boeing 777-200LR | 5 | 3 | 259 (0/42/217) | Inafanya kazi |
Boeing 777-300ER | 8 | 22 | 335 (0/42/293) | Inafanya kazi |
Boeing 777F | 0 | 3 | Cargo | mwaka wa 2010 |
Boeing 787-8 | 0 | 30 | TBD | mwaka wa 2011 |
Bombardier Challenger 300 | 1 | 0 | 7 (7/0/0) | Inafanya kazi |
Bombardier Challenger 600 | 2 | 0 | 11 (11/0/0) | Inafanya kazi |
Jumla | 76 | 167 |
Ndege karibu zote zina video kwenye kila kiti. Qatar Airways imeanzisha viti vinavyogeuka kuwa vitanda kwenye Business Class kwenye ndege ya aina za Boeing 777-300ER na Boeing 777-200LR.