Pudenciana Wilfred Kikwembe (amezaliwa tarehe 11 Mei 1967) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kavuu kwa miaka 2015 – 2020. [1]