PlayStation 2 | |
Mwundaji | Sony Computer Entertainment |
---|---|
Aina | Mchezo wa video |
PlayStation 2 (kifupisho: "PS2") ni toleo la pili la mashine ya michezo ya video kutoka kampuni ya Sony. Mashine hiyo huwa wanazitoa kwa awamu, kuna toleo la kwanza, hili la pili na la tatu pia.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu PlayStation 2 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |