Pierio alikuwa padri ambaye inawezekana alikuwa mkuu wa Chuo cha Aleksandria kabla ya Achilas wa Aleksandria. Alistawi wakati Theonas alikuwa patriarki wa Alexandria[1].
Alifariki Roma baada ya mwaka 309[2]
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, ingawa si rahisi kwamba alifia dini yake walivyosema Fosyo na wengine[3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Novemba[4] au 29 Novemba.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |