Pemba ni kisiwa kilichopo takriban 50 km kaskazini ya Unguja katika Bahari Hindi. Visiwa vyote viwili ni sehemu za Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Tanzania. Umbali na Tanganyika au Tanzania bara ni 50 km.
Pemba pamoja na visiwa vidogo karibu nayo ina wakazi 360,797 katika eneo la 980 km².
Miji muhimu ya Pemba ndiyo Chake Chake, Mkoani na Wete.
Pemba kuna mikoa miwili kati ya mikoa 26 ya Tanzania ambayo ni
Uchumi wa Pemba ni hasa kilimo pamoja na uvuvi. Mazao ya sokoni hulimwa hasa karafuu.
Katika utamaduni wa Pemba kuna desturi ya kipekee katika Afrika ndiyo mchezo wa ng'ombe iliyorithiwa na Wareno walipokuwa na athari kisiwani karne zilizopita.
Mada kuhusu Tanzania | |
---|---|
Historia | |
Siasa (en) | |
Jiografia (en) | |
Uchumi (en) · miundombinu | Viwanja vya ndege · Benki Kuu · Mawasiliano · Shilingi ya Tanzania · Utalii · Usafiri · Maji safi na maji taka |
Demografia (en) na jamii | |
Utamaduni (en) | |
Zanzibar | |
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi |