Paul Robeson mwaka 1942.

Paul Robeson (Princeton, New Jersey, 9 Aprili 1898Philadelphia, Pennsylvania, 23 Januari 1976) alikuwa mwandishi, mwimbaji, mwanariadha, mwigizaji na mwanaharakati wa haki za watu weusi nchini Marekani.

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Robeson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.