Paul Peter Kimiti (amezaliwa 15 Januari 1940) ni mbunge wa jimbo la Sumbawanga Mjini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. ["Mengi kuhusu Paul Peter Kimiti". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2011-11-03. Mengi kuhusu Paul Peter Kimiti]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]