Hii ni orodha ya miji na vijiji nchini Albania, jinsi ilivyorejewa kutoka Taasisi ya Kutoa Takwimu ya Albania (Insituti i Statistikës) mjini Tirana (2008).
Mji mkuu wa Albania ni Tirana na pia ndiyo mji mkubwa nchini humu. Hapa ndipo mahala pa kitovu cha uchumi wa nchi Albania.
Mji mkubwa wa pili na ndio mji wenye bandari kubwa ni Durrës.
Ukubwa | Mji | Idadi ya Wakazi wa Mjini | Idadi ya Wakazi Kikanda/Kiwilaya |
1 | Tirana | 717,209 | 898,000 |
2 | Durrës | 209,600 | 365,000 |
3 | Vlorë | 124,700 | 263,000 |
4 | Elbasan | 100,800 | 359,000 |
5 | Shkodër | 83,600 | 228,000 |
6 | Korçë | 75,100 | 202,000 |
7 | Fier | 56,300 | 383,000 |
8 | Gjirokastër | 48,800 | 175,000 |
9 | Berat | 44,200 | 163,000 |
10 | Lushnjë | 37,900 | 100,000 |
11 | Sarandë | 33,400 | 80,200 |
Orodha ya miji ya Ulaya | |
---|---|
Nchi huru | Albania · Andorra · Armenia1 · Austria · Azerbaijan1 · Belarusi · Bosnia na Herzegovina · Bulgaria · Udeni · Estonia · Georgia1 · Hispania · Hungaria · Isilandi · Eire · Italia · Kazakhstan2 · Kroatia · Kupro1 · Latvia · Liechtenstein · Lituanya · Luxemburg · Malta · Masedonia Kaskazini · Moldova · Monako · Montenegro · Norwei · Polandi · Romania · San Marino · Serbia · Slovakia · Slovenia · Ubelgiji · Ucheki · Ufalme wa Muungano · Ufaransa · Ufini · Ugiriki · Uholanzi · Ujerumani · Ukraine · Ureno · Urusi2 · Uswidi · Uswisi · Uturuki2
|
Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa | Abkhazia1 · Kosovo · Kupro ya Kaskazini1 · Ossetia ya Kusini1 · Transnistria |
Maeneo yanayojitawala chini ya nchi nyingine | Akrotiri na Dhekelia1 · Åland · Azori · Faroe · Gibraltar · Guernsey · Jan Mayen · Jersey · Madeira · Man · Svalbard |
1 nchi ya Asia ya Magharibi kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya kiutamaduni 2 nchi ya kimabara |