Oran (kwa Kiarabu: وَهران, Wahrān) ni mji muhimu wa pwani kaskazini-magharibi mwa Algeria.
Ndio wa pili nchini baada ya mji mkuu Algiers kwa biashara, viwanda na elimu.
Wakazi walihesabiwa kuwa 759,645 mwaka 2008,[1] lakini jiji lote linakadiriwa kuwa na watu 1,500,000[2][3].
|date=, |accessdate=
(help)
Oran travel guide kutoka Wikisafiri
![]() |
Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Oran. |
![]() |
Aïn El Turk • Mers El Kébir • Bousfer | Mediterranean Sea | Aïn Bya • Aïn Franin | ![]() |
Boutlélis | ![]() |
Mers El Hadjadj • Gdyel • Bir El Djir | ||
![]() ![]() | ||||
![]() | ||||
Misserghin | El Kerma • Tafraoui • Es Sénia | Oued Tlélat |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oran kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |