Omary Tebweta Mgumba ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki kwa miaka 2015 – 2020. [1]