Omar Yussuf Mzee (amezaliwa tar. 27 Desemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Kiembesamaki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.