Nassor Suleiman Omar ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ziwani kwa miaka 2015 – 2020. [1]