Kifupi i ni mwinamo.

Mwinamo wa njiamzingo (kwa Kiingereza: orbital inclination) hupima kiasi njiamzingo inavyoinamika. Huonyesheka kama pembe kati ya ubapa rejeo na ubapa wa njiamzingo.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwinamo wa njiamzingo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.