Mwewe
Mwewe domo-njano
Mwewe domo-njano
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Accipitriformes (Ndege kama vipanga)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na vipanga)
Vieillot, 1816
Ngazi za chini

Nusufamilia 2, jenasi 8

  • Elaninae
  • Milvinae Friedmann, 1950
    • Ictinia Vieillot, 1816
    • Haliastur Selby, 1840
    • Harpagus Vigors, 1825
    • Helicolestes Bangs & Penard, 1918
    • Milvus Lacépède, 1799

Mwewe ni ndege mbuai wa nusufamilia Elaninae na Milvinae katika familia Accipitridae. Hawana sifa bainifu pamoja isipokuwa wengi wana mkia mwenye panda. Mabawa yao ni marefu na miguu yao haina nguvu kwa sababu yake ndege hawa huruka sana angani. Hukamata aina nyingi za mawindo, kama wanyama wadogo, ndege na wadudu wakubwa, lakini hula mizoga sana pia.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha