Mussa Ramadhani Sima (amezaliwa tar. 6 Julai 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Singida Mjini kwa mwaka 2015 – 2020. [1]Ameteuliwa mwaka 2018 kuwa Naibu Waziri katika serikali ya awamu ya Tano.