Music Box | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Mariah Carey | |||||
Imetolewa | 17 Agosti 1993 (UK) 31 Agosti 1993 (U.S.) |
||||
Imerekodiwa | Agosti 1992—Mei 1993 at Right Track Studios, Sony Studios, Axis Studios, Electric Lady Studios, House of Sound Studios (NY), The Plant Studios (Sausalito, CA), The Record Plant (Los Angeles, CA), & Criteria Recording Studios (Miami, FL) | ||||
Aina | Pop, R&B, Adult Contemporary | ||||
Urefu | 41:58 (North American edition) 47:25 (international edition) 46:19 (Latin American edition) |
||||
Lebo | Columbia CK-53205 |
||||
Mtayarishaji | Mariah Carey, Dave Hall, Walter Afanasieff, David Cole, Robert Clivillés, Babyface, & Daryl Simmons | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Mariah Carey | |||||
|
Music Box ni albamu ya nne, na albamu ya tatu ya studio kutoka kwa mwanamuziki wa nchini Marekani anayeimba miondoko ya R&B, Mariah Carey. Albamu hii ilitolewa na kupitia studio za Columbia records tarehe 31 Agosti 1993, katika Amerika ya kusini. Albamu hii inajumuisha mashairi yaliyotungwa na Mariah mwenyewe lakini akishirikiana na Walter Afanasieff ambaye amewahi kufanya nae kazi hapo awali katika albamu ya Emotions (albamu) mwaka 1991. Katika albamu hii, Mariah ameweza kushirikiana na waimbaji wengine mashuhuri kama vile Babyface na Robert Clivillés, David Cole
Single inayoongoza katika albamu hii, inayojulikana kama vile Dreamlover, wimbo huu ulikuwa wimbo uliopata mafanikio zaidi wakati wa kutolewa, ulifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika shati ya muziki ya Marekani, na halikadhalika katika chati ya single ya nchini Kanada. Wimbo wa Without You ulikuwa wimbo wa kwanza kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza na nchini nyinhine kadhaa katika bara la Ulaya. Mariah aliteuliwa kugombea tuzo za "Best Female Pop Vocal Performance" katika wimbo wa "Dreamlover" katika Grammy Awards of 1994 lakini alishindwa kupata tuzo hiyo, na badala yake ilichukuliwa na Whitney Houston; baadae alipata nafasi ya kugombea tena nafasi hiyo kupitia wimbo wake wa "Hero" katika tuzo ya Grammy Awards of 1995 lakini kwa mara nyingine tena hakuweza kupata tuzo hiyo.
Lakini pamoja na yote hayoAlbamu ya Music Box inabaki kuwa moja kati ya albamu zilizowahi kufanya vizuri zaidi katika mauzo, kwa kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala milioni 28.
Music Box iliingia katika chati ya muziki ya Marekani Billboard 200 na kufikia katika nafasi ya pili, kutokana na kupata mafanikio makubwa katika mauzo kiasi cha kuuza nakala 174,000, ilifanikiwa kufika kaatika nafasi ya kwanza baada ya wiki sita tangu itolewe. Albamu hii ilipata mafanikio zaidi kwa upandwe wa mauzo kaatika wiki ya 15, ambapo hapo ilipata kuuza nakala takribani 505,000. Ilifanikiwa kukaa katika nafasi kwanza kwa jumla ya wiki nane zisizo za mfululizo. Ilikaa katika albamu kumi bora kwa kwa kipindi cha week thelathini na katika chati ya Billboard kwa wiki 128, ( hii ikiwa ni zaidi ya miaka miwili, hali ambayo hakuwahi kutokea katika albamu zake zilizopita. Mwaka 1994, albamu hii ilishika nafasi ya pili katika albamu iliyoongoza kwa mauzo nchini Marekani.
International edition
11. "Everything Fades Away" (Carey, Afanasieff) – 5:25
Latin American edition
11. "Héroe" (Carey, Afanasieff) – 4:19
Chati[hariri | hariri chanzo]
|
Tuzo[hariri | hariri chanzo]
|
((cite web))
: Unknown parameter |=
ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help)
((cite web))
: Unknown parameter |=
ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url=
ignored (help)
Studio albamu | Mariah Carey (1990) · Emotions (1991) · Music Box (1993) ·Merry Christmas (1994) · Daydream (1995) · Butterfly (1997) · Rainbow (1999) ·Glitter (2001) · Charmbracelet (2002) · The Emancipation of Mimi (2005) · E=MC2 (2008) · Memoirs of an Imperfect Angel (2009) |
---|---|
Kompilesheni | Number 1's (1998) · Valentines (2000) · Greatest Hits (2001) · The Remixes (2003) · The Ballads (2008) · Playlist: The Very Best of Mariah Carey (2010) · Angels Advocate (2010) |
Albamu za live | MTV Unplugged (1992) |
Kompilesheni za video | The First Vision (1991) · MTV Unplugged +3 (1992) · Here Is Mariah Carey (1993) · Fantasy: Mariah Carey at Madison Square Garden (1996) · Around the World (1998) · #1's (1999) · The Adventures of Mimi (2007) |
Ziara | Music Box Tour (1993) · Daydream World Tour (1996) · Butterfly World Tour (1998) · Rainbow World Tour (2000) · Charmbracelet World Tour (2003-2004) · The Adventures of Mimi Tour (2006) · Angels Advocate Tour (2009/2010) |
Makala zinazohusiana | Diskografia ya Single · Diskografia ya Albamu |