Mto Anseba unapatikana Eritrea na ni tawimto la mto Barka ambao huishia katika Bahari ya Shamu.

Kabla ya hapo unatiririka kilometa 346 na kupokea maji ya mto Zara, mto Koka na mto Fah.

Tazama pia

Tanbihi