Moyo Mtakatifu wa Yesu ni ibada iliyoenea sana, hasa katika Kanisa Katoliki, ikielekea moyo wa Yesu Kristo hasa kama ishara ya upendo wake kwa binadamu[1]. Ibada hiyo inazingatia mateso ya kiroho na ya kimwili ambayo yamethibitisha upendo huo.
Sherehe yake huadhimishwa Ijumaa inayofuata Jumapili ya pili baada ya Pentekoste, kati ya tarehe 29 Mei na 2 Julai[2].
Jinsi ilivyo kwa sasa imetokana hasa na njozi ambazo mmonaki bikira wa Ufaransa Margareta Maria Alacoque alisema amezipata katika miaka 1673 - 1675,[3] Kabla yake katika Karne za Kati watakatifu mbalimbali walipata njozi za namna hiyo, hasa Gertrude Mkuu.
((cite web))
: CS1 maint: date auto-translated (link)
((cite web))
: More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
((cite web))
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Moyo Mtakatifu wa Yesu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |