Momoju | |
Nchi | Mayote, Ufaransa |
---|
Momoju ni mji mkuu wa eneo la ng’ambo la Ufaransa la kisiwa cha Mayote. Iko kwenye kisiwa kikuu cha Maore. Kuna takribani wakazi 45,000.
Mji una vijiji sita pamoja na kitovu cha mji mwenyewe, ndivyo Kaweni (hapa kuna viwanda), Mtsapere, Pasamainti, Vahibe, Tsoundzou I na Tsoundzou II.
Eneo lake hutawaliwa katika wilaya tatu za Momoju I, Momoju II na Momoju III.
1991 | 1997 | 2002 | |||
---|---|---|---|---|---|
20 307 | 32 733 | 45 485 | |||
Namba kamili zimepatikana tangu 1991 |
Village | 1997 | 2002 |
---|---|---|
Kavani | 3 948 | 5 488 |
Kaweni | 6 206 | 9 604 |
Momoju | 5 666 | 6 533 |
Mtsapere | 6 979 | 10 495 |
Pasamainti | 5 173 | 6 008 |
Tsountsou I | 2 093 | 3 058 |
Tsountsou II | 574 | 1 063 |
Vahibe | 2 135 | 3 236 |