Mohammed Rajab Soud (amezaliwa tar. 18 Februari 1959) ni mbunge wa jimbo la Jang'ombe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.