Mohamed Habib Juma Mnyaa (amezaliwa 2 Desemba, 1955) ni mbunge wa jimbo la Mkanyageni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.