Mlima Satima (kutoka Kimasai: Oldoinyo Lesatima, yaani "mlima wa ndama"[1]) ni kilele kirefu zaidi cha milima ya Aberdare nchini Kenya ukiwa na kimo wa mita 4,001 juu ya usawa wa bahari[2][3][4].
Satima ni mlima wa tatu kwa urefu nchini Kenya. Unapatikana katika kaunti ya Nyeri.
0°20′59″S 36°37′00″E / 0.34972°S 36.61667°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Satima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |