Mlima Loleza ni jina la mlima mmojawapo wa milima ya Mbeya, katika Mkoa wa Mbeya kusini mwa Tanzania.

Una urefu wa mita 2,656 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia