Mlima Kinangop ni kilele kirefu cha pili cha milima ya Aberdare nchini Kenya ukiwa na kimo wa mita 3,906 juu ya usawa wa bahari[1]

Kinango ni mlima wa nne kwa urefu nchini Kenya na ina asili ya volikano. Unapatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Aberdare.

Tazama pia

Tanbihi

  1. New Encyclopædia Britannica vol. 1 (2005): "The range has an average elevation of 11000 feet (3350 m) and culminates in Oldoinyo Lesatima (13120 feet [3999 m]) and Ilkinangop (12815 feet [3906 m])."

Marejeo