Mkoa wa Kaskazini ya Mbali

Mkoa wa Kaskazini ya Mbali, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini.

Mkoa huo una wakazi 3,993,007 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 34,263.

Tazama pia

Tanbihi

  1. https://www.citypopulation.de/en/cameroon/cities/
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kaskazini ya Mbali, Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.