Mkoa wa Caprivi ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 79,852 kwenye eneo la 19,532 km². Mji mkuu ni Katima Mulilo.
Miji mikubwa ni pamoja na Katima Mulilo na Kabe.
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Caprivi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |