Milton Makongoro Mahanga (amezaliwa tar. 3 Aprili 1955) ni mbunge wa jimbo la Ukonga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.