Mgana Izumbe Msindai (amezaliwa 28 Novemba, 1948) ni mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.