Mbaruk Kassim Mwandoro (amezaliwa 12 Juni, 1942) ni mbunge wa jimbo la Mkinga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Mbaruk Kassim Mwandoro". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.