Mbarouk Salim Ali (amezaliwa 20 Juni 1962) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Wete kwa miaka 2015 – 2020. [1]