Masoud Abdalla Salim (amezaliwa 24 Oktoba, 1962) ni mbunge wa jimbo la Mtambile katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.