Masimino wa Trier (Silly, leo nchini Ubelgiji, karne ya 3 - Poitiers, leo nchini Ufaransa, 12 Septemba 346/349) alikuwa askofu wa 6 wa Trier, leo nchini Ujerumani, aliyepinga sana Uario na kukaribisha Atanasi wa Aleksandria na maaskofu wengine wenye msimamo wake [1] hata serikali ikamfukuza jimboni[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu[3].
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |