Mary Pius Chatanda (amezaliwa tarehe 5 Septemba 1959) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Korogwe Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1]